Home / Announcements / MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA FETA MBEGANI CAMPUS – RAUNDI YA KWANZA

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA FETA MBEGANI CAMPUS – RAUNDI YA KWANZA

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO CHA FETA MBEGANI AWAMU YA KWANZA

 

HAYA NI MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA NA CHUO CHA FETA KAMPASI YA MBEGANI KATIKA RAUNDI YA KWANZA LAKINI YANASUBIRIA UTHIBITISHO KUTOKA NACTE NDIPO TARATIBU ZINGINE ZA USAJILI ZIENDELEE.

WALE WALIOTUMA MAOMBI KWENYE BARUA PEPE (EMail) YA CHUO MAOMBI YOTE YAMEPOKELEWA NA MAJINA YAO YATATOKA KATIKA RAUNDI YA PILI.

CHUO BADO KINAENDELEA KUPOKEA MAOMBI KWA WALE AMBAO WANAHITAJI KUJIUNGA KWA MWAKA 2019/2020.

 

AHSANTENI

IMETOLEWA NA UONGOZI WA CHUO