Home / Announcements / TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE KUHUSU KUFUNGUA CHUO

TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE KUHUSU KUFUNGUA CHUO

Wanafunzi Wote Mnapewa Taarifa kwamba Chuo Kitafunguliwa Tarehe 25/09/2017 Siku ya Jumatatu ambapo Masomo yataanza Rasmi siku Hiyo.

Mitihani ya Special na Supplementary itaanza kufanyika Tarehe 18/09/2017 siku ya Jumatatu wiki Moja kabla ya Chuo Kufunguliwa.

Tafadhali Mjulishe Mwenzio,

Utawala.