Home / Announcements / Tangazo Kuhusu Kufungua Chuo na Mitihani ya Supplementary na Special

Tangazo Kuhusu Kufungua Chuo na Mitihani ya Supplementary na Special

Chuo Kitafunguliwa Rasmi Siku ya Jumatatu ya Tarehe 05/03/2018. Mitihani ya Special na Supplementary zote (Technical Supp & Normal Supp) itaanza Jumatatu ya Tarehe 26/02/2018. Kwa Wanafunzi wa Diploma ya Masterfisherman ambao wapo Industial Training, Mitihani ya Supplementary watafanya Baada ya Industrial Training Kumalizia na kurejea Chuoni. Ahsanteni.

Imetolewa na

KURUGENZI YA MAFUNZO NA UTAFITI – FETA