Home / News and Events / Tangazo kwa Diploma Wanaokusudia Kufanya Technical Supplementary

Tangazo kwa Diploma Wanaokusudia Kufanya Technical Supplementary

Diploma Wote Ambao Hawakufikisha Maksi 25 Katika Mtihani wao Wa Final Ndio wanapaswa Kufanya Technical Supplementary. Hivyo Wale waliopata Kuanzi Maksi 25 Kuendelea Hawatapaswa kuja kufanya mitihani hiyo na kwa maana hiyo wanahesabika wamefaulu.

Tangazo Hili Haliwahusu NTA Level 4 & 5

 

Imetolewa na

Kurugenzi ya Mafunzo