Home / Announcements / Tangazo kwa Wanafunzi wanaofanya Remote Sensing & GIS – Special and Supplementary

Tangazo kwa Wanafunzi wanaofanya Remote Sensing & GIS – Special and Supplementary

Wanafunzi ambao mnatarajia kufanya mtihani wa special na supplementary ya GIS & Remote sensing mnatangaziwa kwamba kutakuwa na Practical section pia. hivyo mnahitajika kujiandaa kwa hilo.

 

Imetolewa na

KURUGENZI YA MAFUNZO