Home / News and Events / Tangazo Muhimu kwa Wote

Tangazo Muhimu kwa Wote

Chuo Kinapenda Kuwatangazia Waliotuma Maombi Kujiunga Kwamba, Majina ya Waliochaguliwa Yatawekwa Kwenye Website Yetu Kuanzia Tarehe 4/10/2018 Baada ya Kuwa Yamehakikiwa na NACTE. Hivyo Endeleeni Kutembelea Tovuti Hii kwa Ajili ya Kuona Majina Hayo na Kupata Joining Instructions na Fomu ya Medical Examination.

Imetolewa na

Kurugenzi ya Mafunzo