Home / Announcements / TIME TABLE FOR SUPPLEMENTARY AND SPECIAL EXAMS FETA – MBEGANI CAMPUS

TIME TABLE FOR SUPPLEMENTARY AND SPECIAL EXAMS FETA – MBEGANI CAMPUS

FINAL EXAMS TIMES TABLE JUNE 2019

WANAFUNZI WOTE MNAOTAKIWA KUFANYA MITIHANI YA SUPPLEMENTARY NA SPECIAL MNATAKIWA KUANGALIA RATIBA NA KUHAKIKISHA MNAFAHAMU SIKU YA KUFANYA MTIHANI WA SOMO HUSIKA. HAKUTAKUWA NA MABADILIKO PALE MTU ATAKAPOCHELEWA KUFANYA MTIHANI KATIKA SIKU ILIYOPANGWA.

PAMOJA NA HAYO, UNATAKIWA KILIPIA GHARAMA ZA KUFANYA MITIHANI HIYO KABLA YA SIKU YA MTIHANI ILI KUEPUKA USUMBUFU. UKISHINDWA KUFANYA HIVYO ITAPELEKEA KUKATALIWA KUFANYA MTIHANI HUO.

 

IMETOLEWA NA

MENEJA WA MITIHANI.