Hbr ndugu, naomba munitumie joining instruction ya mwaka 2021 ili nijipange na nijue maandalizi kwa ajili ya kijana wangu amechaguliwa na OR TAMISEMI mwaka 2021
Habarini wakubwa shkamoo nilikuwa naomba kujua utaratibu wa kubadilisha kozi maan mimi natarajia kujiunga na chuo iki nimechaguliwa na or tamiseni nilikuwa nataka kubadilisha kozi nilikuwa naomba utaratibu unakuwaje
Form ya kupima afya angalia kwenye website page ya admission utaona Medical form, kwa kesi ya control namba, tafadhali piga 0678 031 532 au 0784 787 909 ili upate msaada wa huduma unayohitaji.

Asante, kwa maelezo zaidi piga +255 232 935 098
TAFADHALI NAOMBA FOMU YA KUPIMA AFYA