
Ukumbi wa Mikutano
Ukumbi wetu wa kisasa na wenye nafasi unatoa mazingira bora kwa mikutano, warsha na hafla mbalimbali. Ukiwa na viti vya starehe, vifaa vya sauti na picha, pamoja na huduma ya kitaalamu, ni sehemu bora kwa makundi madogo na makubwa.
Kauli Mbiu: “Ukumbi bora kwa mikutano na matukio yako.”
Bei:
- Ukumbi wa Watu 10: TZS 100,000 kwa Siku moja
- Ukumbi wa Watu 20: TZS 150,000 kwa Siku moja
- Ukumbi wa Watu 20 mpaka watu 50: TZS 250,000 kwa Siku moja
(Inajumuisha viti, projekta na mfumo wa sauti) - Kwa Mawasilaino zaidi +255 757 032 238