Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Wakala ya Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA)

Kuanza kwa Mitihani ya Majaribio

21 August, 2025

Mitihani ya majaribio katika kampasi za FETA inatarajiwa kuanza kanzia tarehe 27/02/2026.Wanafunzi wanahimizwa kujiandaa ili waweze kufanya vizuri