Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Wakala ya Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA)

Ni zipi sifa za kujiunga na chuo?

Muhitimu mwenye  wa kidato cha nne awe na ufaulu wa D nne kwenye masomo yasiyo ya dini.

AU

Muhitimu wa kidato cha sita awe na principle pass mbili na subsidiary mbili